HASIRA HASARA KATIKA MAPENZI
UNAAMKA umenuna, unaoga umenuna, unavaa umenuna,
unakwenda kazini umenuna. Jioni unarudi umenuna! Inasaidia nini? Kama
una dukuduku na mke au mumeo, mwambie. Zungumza naye. Unanununa nini?
Haitakusaidia kitu. Njia njema zaidi ya kumaliza matatizo ndani ya
nyumba ni mazungumzo. Chukua hili kutoka kwangu. JOSEPH SHALUWA
No comments:
Post a Comment