Tuesday, October 9, 2012

JE MATENDO YOTE YANAMAANISHA UKWELI?

Picha hii ni ya mbunge wa Afrika Mashariki Shy-rose Bhanji wakati akiomba kura
Si kweli kwamba kila anachokifanya mwanadamu kina ukweli. Wakati mwingine hufanya vitu kwa lengo la kupumbaza akili za watu wengine. Siku zote katika maisha yako, angalia moyo wa mtu si matendo yake. Jipe muda sana kuyaamini akutendeayo mtu ili usijikute ukijuta kusaidiwa, kuoneshwa upendo wa kudanganywa. Usikubali kuwa mateka wa kauli, mtumwa wa matendo ya kuigiza na mfuasi wa uongo

No comments:

Post a Comment