Tuesday, April 13, 2010

SYLVIA SHALLY AZIDI KUMGANDA KANUMBA
Mrembo anayeshikilia taji la Miss Ilala Sylvia Shally ameendelea kumganda kinoma mwigizaji maarufu bongo Steven Kanumba. Juzi kati kamera yetu iliambulia picha zenye ‘chenga chenga’ zikimuonesha mwadada huyo akijivinjari na msanii huyu ndani ya viwanja vya Mlimani City vilivyopo Ubungo, Dar es Salaam.

Wawili hao ambao wamekuwa wakikanusha kuwa si wapenzi ingawa wapekuzi wameshapakaza kuwa ‘wana-du’ kwa ushahidi wa macho tu ambao kona hii haiuamini katu. Ila waswahili husema hayawi hayawi huwa haka kaskendo ka’mapenzi wanakokakanusa katajulikana hatimaye.

No comments:

Post a Comment