Tuesday, April 13, 2010

TATIANA DURAO AFANYA KUFURU DAR
Kuna ishu kubwa inayomhusu mwanadada Tatiana Durao, mshiriki wa shindano la BBA mwaka jana, kwamba alifanya uchafu mwingi wakati akisherehekea siku yake ya kuzaliwa ‘birthday’, iliyofanyika ndani ya Ukumbi wa The Stallion uliopo Mikocheni B jijini Dar es Salaam.

Amini usiamini Tatiana ambaye ni Muangola aliamua kuja kujiachia Bongo katika sherehe hiyo ambapo anadaiwa kuingia na kinguo kifupi huku akiwa amelewa na kuanza kumwaga radhi ukumbini huku ‘wababa wakicheki’ bure sehemu zake za siri.

No comments:

Post a Comment