RAIS JAKAYA KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAMJULIA HALI MBUNGE WA NAMTUMBO MHE VITA KAWAWA ALIYELAZWA HOSPITALI YA AMI JIJINI DAR ES SALAAM
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali
Mbunge wa Namtumbo Mhe. Vita Kawawa aliyelazwa katika hospitali ya AMI
jijini Dar es salaam Jumatano, Januari 14, 2015 akipatiwa matibabu ya
tumbo. Katikati yao ni Mhe Adam Malima, naibu Waziri wa Fedha na kushoto
ni Daktari katika wodi hiyo.
No comments:
Post a Comment